
MIDUNDO
Konga nyoyo na Muziki! Midundo ni huduma ya muziki ambao hukupa fursa ya kufurahia vitu mbalimbali vya kisanaa kwenye simu yako muda wote na mahali popote kama vile Nyimbo, Albamu,Video, Miito ,Miitikio, Kali za Redioni na Picha.
Jinsi ya kutumia Huduma
Kuna namna mbalimbali za kujiunga na huduma ya midundo kama vile USSD, STK, SMS, WEB/WAP.
Unaweza kujiunga na vifurushi mbalimbali kama vile kifurushi cha siku,wiki au mwezi.
- Kifurushi cha siku tuma SMS 'ON1' au 'M1' kwenda 15574 au Piga *15574*0#
- Kifurushi cha wiki tuma SMS 'ON7' au 'M7' kwenda 15574 au Piga *15574*7#
- Kujiondoa na kifurushi hiki tuma SMS ONDOA kwenda 15574 au Piga *15574*1#
Gharama za Huduma
Huduma hii inagharimu:
.Kujiunga ni Tsh 60/Siku
.Kujiunga ni Tsh 300/Wiki
Vigezo na Masharti ya Huduma
Huduma inapatikana kwa watumiaji wa malipo ya kabla na baada ambao wamewezeshwa kupiga na kupokea au kutokuwa na deni.
• Usajili utaruhusiwa kwa watumiaji wa Halotel pekee.
• Watumiaji wote iwapo waliojiunga na Halotel au wasiojiunga hawatoweza kuingia kwenye Midundo WAP na WEB kupitia m.midundo.co.tz na midundo.co.tz.
• Watumiaji wote wa Halotel na wasio wa Halotel, wataweza kuangalia na kusikiliza yaliyomo.
• Gharama za kusikiliza na kuangalia yaliyomo kwa wasio watumiaji wa Halotel itaendana na misingi pamoja na kiwango cha data.
• Kupakua, kutoa maoni na kutuma zawadi kitahusika kwa watumiaji wa Halotel walisajiliwa tu.
Kwa msaada zaidi tuma sms MSAADA kwenda 15574 au piga *15574#